Kali D - Worldwide Hustlers Lyrics
CHORUS: KALI DDedication to ma worldwide hustlersMaboys wa mtaa wale hujilishaHawana job lakini haueziwatishaWakikupita hao wenyewe wamengaa kukushindaDedication to ma worldwide hustlersMaboys wa mtaa wale hujilishaHawana job lakini haueziwatishaWakikupita hao wenyewe wamengaa kukushindaHaujitafutia chapa fala sikizaVERSE 1: KALI D15 kijana alikuwa na dreams za kulive young and richIle time K-South na Shaka pekee ndio walikuwa wamehitKila verse anaspit ilikuwa ni masterpieceMtaa ilikuwa ni 2000 streetsHood imejaa drug na thievesDrinks illicit na mapolisi poverty ilikuwa imezidiSa boy akanza kupay studios a visitLakini kila moja alipata wanadai akuje na rizikiBasi akaamua kutake it back to the streetsAtafute njaro anaeza hustle aezange pata msimamoKiasi ya kulipa labo, wiki moja ye adrop cd doubleKirhymes anajitrust enyewe alikuwa nazoKuanzia kitambo akiwa primo hizi thoughts zilikuwa zina mdrive psychoNa kwa hiyo harakati ya kutafuta doeAshapigwa mob drugs zote ashatumia police station ka zote ashalodgeLakini bado anaangusha rhymes of courseYe ni product ya ghetto place hakunanga kulose hopeNi kubeleive siku yako ikifika utamulikwa na God au sio?CHORUS: KALI DDedication to ma worldwide hustlersMaboys wa mtaa wale hujilishaHawana job lakini haueziwatishaWakikupita hao wenyewe wamengaa kukushindaDedication to ma worldwide hustlersMaboys wa mtaa wale hujilishaHawana job lakini haueziwatishaWakikupita hao wenyewe wamengaa kukushindaHaujitafutia chapa fala sikizaVERSE 2: KALI DCheki posi ya hiyo kikosi skiza story kwa makini na ukuje slowlyJuu ka ni uchokozi hapa ni boxing na haikosi utalazwa hosiMi itabaki nasakanywa na maponyiNiko area lakini hawanioniNi ka vile msee anaeza kupita anachoma fegi lakini harufu inatoka ni yaGodePeace kwa makonkode wa kunganisha fulltime pia wa masquadiWale wanaelewa lazima vako za roadiNa mabadman haujitetea na kuruka noma hata wakipelekwa kortiLazima watu wa dishi lazima nilipe kodiWase wote wa beam wanaojua kumake doe endelea kudo your thingWatu wa keep clean, ngara nguo za kimagazine ka una uwezoKa haujiezi hustle videadlyMi yangu ni rap na kusema ukweli itanilipa na isipo itanifanya ni crekiNita spit, nita spit mpaka nideadiNa kwa coffin yangu iekewe mic kando yangu watu wachekiWasanii watoe madom na wazisetiMinisha creki nakushow nishacreki